Use APKPure App
Get Neno la Leo old version APK for Android
Pata neno la mungu la kila siku pamoja na tafakari yake
Kila siku mwenyezi mungu kupitia maandiko yake matakatifu anatukumbusha na kutufundisha kitu kipya, hivyo basi mpendwa katika Kristo unapaswa kujikumbusha na kusoma neno la mungu kila siku, Neno la leo & Tafakari ya Leo ni aplikesheni itakayokufaa katika kuliishi neno na kumfuata kristo Yesu. Kupitia aplikesheni hii utakuwa unapokea ujumbe mfupi kila siku kuhusiana na neno pamoja na tafakari yake ya siku husika. Pia utaweza kuyasoma maneno yaliyopita pasipo kuwa na kifurushi cha internet. Kumbuka kumpenda Jirani yako kwa kumsambazia naye aplikesheni hii ili aweze kubarikiwa.Last updated on Oct 25, 2018
- Upgraded to the latest android version
- Fixed notifications issues
- Fixed bugs
Caricata da
Axel Casim
È necessario Android
Android 4.2+
Categoria
Segnala
Neno la Leo
& Tafakari ya Leo1.01 by Mbinda Technologies CO. Ltd
Oct 25, 2018