س ج في الإباضية والصلاة icon

5.0 by Omani Muslim


Aug 31, 2024

About س ج في الإباضية والصلاة

Simple application is taken from Q c booklet in Ibadi and prayer for Professor Hamad Ma'awali

Question and Answer in Ibadi and prayer

Simple application is taken from Q c booklet in Ibadi and prayers to Mr. Hamad Al Ma'awali and issued by the youth Noor integrity.

It aims to give a brief introduction about Ibadhi school -ool doctrine in Islam-and provide real to him the image of the people away from the allegations and fabrications malevolent and spiteful, in four different languages ​​(Arabic + English Kiswahili + Urdu) and here we are Dear Reader invite you to read the impartiality of all the passions and prejudices to take information from the right source, God has guided us and you to the right path.

Note: Books containing material this application, the request and the booking manuals are available:

92228166 or 93277119

In the name of God the Merciful

The application of the Q & A in Ibadi doctrine and prayer

Simplified program offers you - dear reader - valuable information and simplified Ebadi doctrine - the oldest Islamic sects -

Opportunity for those looking for the truth and knowledge that take information from the right source. Not the people who wrote fanatics

Welcome any inquiry or ideas

Greetings

shabab Noor Al-istiqama

In the name of Allah the Merciful

Baada ya kumshukuru Allah mtukufu, na kumtakia Rehma na Amani kipenzi wetu Mtume wetu Muhammad na Aali zake na Masahaba wake na kila mwenye kufuata uongofu wake mpaka siku ya malipo.

Ninachukua fursa hii kwa kuwaletea yaliyomo katika kitabu kilicho chepesi kufahamika, mafupi maelezo yake, na nyingi elimu yake, nacho ni uandishi wa ndugu yetu Ust. Muhammed Al maawaliy, basi ndugu zangu tufaidike na yaliyomo katika kitabu hichi, ama mwenye kua na suala au kutaka maelezo zaidi, anaweza kuwasiliana na wanaelimu wa kiibadhi pale walipo, au kuandika baruapepe [email protected] ili faida izidi iweze kupatikana kwa atakayotuma, pia ifahamike kua nimefanya baadhi ya uhakiki wa hadithi zilizotajwa

katika kitabu hichi, vile vile kila utapoona yaliyomo baina ya mabano mawili, ujue kua aghalabu ya hayo yanakua ni nyongeza yetu, na hatukufanya haya isipokua kwa kutarajia kupata mazuri yaliyo kwa Allah mtukufu katika njia ya kuifikisha Haki kwa waja wake.

Wabilahi taufiqi.

Ndugu yako

Hafidh. H. Seif Al sawafi

Shukurani zote ni kwa Allah mtukufu, yeye ndiye Mola wa walimwengu wote, na rehma na amani ziwe kwa bwana wetu Muhammad, Nabii muaminiwa, na kwa Aali zake, na Masahaba wake watimizaji ahadi, walio wachamungu.

Baada ya hayo ,,,

Ndugu zangu, pokeeni kurasa hizi tunazokuleteeni; kwani ndani yake umo ufupisho mwepesi, ulio katika mfumo wa suali na jawabu, katika yale yanayohusu dhehebu la ibadhi, basi utakuta mengi yanayohusiana na hakika zao kiujumla, na yale yanayohusiana na sala yao kiuanisho.

Tunamuomba Allah mtukufu atujaalie sisi na nyinyi kua miongoni mwa wanaosikia neno zuri na wakafuata ya wema, na atuoneshe haki na atuwezeshe kuifuata.

Na Allah ndiye msimamizi wa kuwezesha katika mema ......

What's New in the Latest Version 5.0

Last updated on Aug 31, 2024

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Translation Loading...

Additional APP Information

Latest Version

Request س ج في الإباضية والصلاة Update 5.0

Uploaded by

Diego Hellen

Requires Android

Android 8.0+

Available on

Get س ج في الإباضية والصلاة on Google Play

Show More

س ج في الإباضية والصلاة Screenshots

Comment Loading...
Languages
Searching...
Subscribe to APKPure
Be the first to get access to the early release, news, and guides of the best Android games and apps.
No thanks
Sign Up
Subscribed Successfully!
You're now subscribed to APKPure.
Subscribe to APKPure
Be the first to get access to the early release, news, and guides of the best Android games and apps.
No thanks
Sign Up
Success!
You're now subscribed to our newsletter.