Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni icon

1.9.2 by NDIFUUST MOBILE


Jul 9, 2018

About Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni

Habari toka magazet yote ya Tz na dunian kote hata kama huna MB.Offline reading

Kupitia App HII ya Habari Za Leo Hiiutaweza kupata habari za kitaifa na za kimataifa bila kusahau habari za michezo.

1.utaweza Kupata Habari mbali mbali za kisiasa, Kiuchumi,kijamii na michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania kupitia wavuti zifuatazo;

-BBC SWAHILI

-CRI SWAHILI

-VOA SWAHILI NA NYINGINEZO

App hii inamwezesha mtumiaji kutoa maoni yake na mitazamo yake juu ya kinachoendelea ulimwenguni.Usikose habari katika magazeti ya:

-Mwananchi

-Raia Mwema

-Rai

-Mwanaspoti

-Mtanzania

-Mwanahalisi na mengineyo......

Kupitia hapa utaweza kujua habari na matukio mbali mbali yanayojiri kila siku ulimwenguni pamoja na makala mbali mbali za kijamii lakini pia michezo.

Habari Za Leo Hii ni app inayokusogezea habari unazopenda kuzisoma kutoka vyanzo vikubwa mbali mbali Tanzania. Kwa mfano kama wewe unapenda tu kupata habari za michezo na burudani, basi app hii itakupa habari za michezo na burudani tu! Kama unapenda habari za siasa basi itakusogezea habari za siasa tu. Vileviel kama unapenda habari zote zile basi itakuletea habai zote!

Pia app hii inaweza kukwambia mambo gani yanavuma Tanzania na pia inaweza kukuonesha habari zipi zinasomwa sana katika siku.

Baadhi ya vyanzo vya habari ni Millard Ayo, Mwananchi, Mzlaendo, BBC Swahili, Channel 10, Dar24, Habari Leo, Mwana Spoti, Global Publishers, Mwanahalis Online, Raia Mwema, Swahili Times, VOA Swahili, Swahili Hub, Swahili Times, Perfect255, Shaffih Dauda, Udaku Specially, Dizzim Online, Bongo 5, 8020 Fashions Blog, Full Shangwe Blog, Issa Michuzi, Mitandaoni, Mjengwa Blog, Mtembezi, Habari Kwanza, Ghafla Tanzania, Dewji Blog, Kwetu Tanzania na zinginezo nyingi tunazoendelea kuziongeza

Pia app hii inaruhusu watumiaji wake kunzisha mijadala na kuchangia maoni juu ya mijadala hiyo. Pia watumiaji wanaweza kutoa maoni juu ya habari fulani waliyoisoma.

App hii inawanufaisha wamiliki wa vyanzo vya habari ama waandishi kwa kuwa inaongeza idadi ya watu watakaosoma habari husika kwani habari zote zinasomwa kwenye kurusa zake lakini ndani ya Habari Za Leo Hii App.

*****************************************************

Habari Za Leo Hii is an app which corrects news from top sources in Tanzania and lets you read only the news that matter to you. For example if you just want to read news on sports and entertainment, the app will give you news on sports and entertainment only! If you like politics then it will give you news about politics. Also if you want read everything then it will give you everything

With all that, the app can tell you which topics are trending in Tanzania and which news are read most within a day.

Pia programu ina habari na mafunzo mbalimbali ya Teknolojia, programu hii ina lengo la kufikisha habari na mafunzo mbalimbali ya Teknolojia kwa jamii kwa lugha ya Kiswahili, vile vile Program hii inasaidia jamii kuelewa kwa undani kuhusu Teknolojia mpya kutoka ndani na nje ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.

4.Habari papo kwa papo; BILA SHAKA Utafahamishwa habari kupitia ujumbe mfupi(Notification) katika simu yako punde zinapochapishwa MARA MOJA

.App hii ina mambo mengi ya kipekee kama:

+Badili mwonekano wake kati ya nyeupe na rangi nyeusi

+Read news Offline and online

+Tafuta kitu chochote unachotaka na uletewe habari zote zinazohusu kitu hicho

+Chagua mda unaotaka kuletewa habari mpya

+Ongeza website uzitakazo

+Futa habari usizozitaka

+Tunza habari unazozitaka

it DOES NOT synchronize with any online feed reader, if you need synchronization this app is not for you.

Features:

- easily add new feeds thanks to the Google News or search feature (you can also subscribe to a new one from the browser via the share feature)

- light and dark themes

- offline reading including images

- import/export the feed list from OPML

- retrieve the full text of the feed when the content is truncated

- star your favorite entries

- search into your articles

- filter your feed by keywords or regular expressions

- custom widgets

What's New in the Latest Version 1.9.2

Last updated on Jul 9, 2018

+Read news Offline and online.hata kama huna MB;Utaweza soma habari zilizochapishwa
ulipokuwa na MB
+Badili mwonekano wake kati ya nyeupe na rangi nyeusi
+Tafuta kitu chochote unachotaka na uletewe habari zote zinazohusu kitu hicho
+Chagua mda unaotaka kuletewa habari mpya
+Ongeza website uzitakazo
+Futa habari usizozitaka
+Tunza habari unazozitaka
+need to accept the android.permission.WRITE_EXTERNAL_STORAGE permission

Translation Loading...

Additional APP Information

Latest Version

Request Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni Update 1.9.2

Uploaded by

Andy Reyes

Requires Android

Android 4.0.3+

Show More

Habari Za Leo Hii:Matukio Kote Ulimwenguni Screenshots

Comment Loading...
Languages
Searching...
Subscribe to APKPure
Be the first to get access to the early release, news, and guides of the best Android games and apps.
No thanks
Sign Up
Subscribed Successfully!
You're now subscribed to APKPure.
Subscribe to APKPure
Be the first to get access to the early release, news, and guides of the best Android games and apps.
No thanks
Sign Up
Success!
You're now subscribed to our newsletter.