Icona Chuo Cha Mapenzi

4.0.2 by Star X


May 5, 2018

Informazioni su Chuo Cha Mapenzi

Pakua App Hii Ujifunze Mapenzi, Mahusiano, Simulizi Za Mapenzi Na Elimu Ya Mapenzi

Chuo cha mapenzi ni moja ya App inayotoa na kukupa elimu ya Mambo mbalimbali kuhusiana na mahusiano na Mapenzi kwa wanaume kwa wanawake,sms nzuri kwa mpenzi wako,utundu na maujanja ya kitandani kila siku yatakayokufanya uweze kujua mambo mengi sana kuhusiana na Mapenzi pia utaweza kujua zaidi mambo yafuatayo kupitia app hii

Utundu na Utamu wote wa chumbani.

Siri zote za Mapenzi.

Darasa la Mapenzi.

Simulizi nzuri za Mapenzi.

Ushauri kuhusu Mahusiano na Mapenzi.

Ujumbe mzuri wa Mapenzi.

Mapenzi Mubashara.

Utajifunza mapenzi.

Sms za mapenzi.

App hii pia inakufundisha pia wanaume na wanawake jinsi ya kua bora kwa mpenzi wako kwenye suala nzima la kumpa raha na haki yake ya msingi.

Utajua na kujifunza majukumu na mambo ya msingi ya kufanya kwa mpenzi wako ili kudumisha mapenzi na mahusiano yenu wakati wa tendo la ndoa.

Mahusiano na mapenzi huvunjika kutokana na kutokujua sababu za msingi app hii itakujuza mbinu za kusikia raha na hata kumfikisha mpenzi wako kileleni.

Utapata ushauri kuhusu maswala muhimu sana kwenye mapenzi ili uweze kuchagua mpenzi bora kwa maisha yako

Chuo cha Mapenzi ni mahali na ni chaguo lako utakapo pata Elimu ihusuyo Mapenzi na huku ndipo kuna Dunia ya Mapenzi na Sayari ya Mapenzi na ni kijiwe kizuri sana cha Mapenzi pamoja na kisiwa kizuri cha mapenzi.

Novità nell'ultima versione 4.0.2

Last updated on May 5, 2018

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Traduzione in caricamento...

Informazioni APP aggiuntive

Ultima versione

Richiedi aggiornamento Chuo Cha Mapenzi 4.0.2

Caricata da

Tariq Ahmed Umer

È necessario Android

Android 4.1+

Mostra Altro

Chuo Cha Mapenzi Screenshot

Commento Loading...
Lingua
Ricerca...
Iscriviti ad APKPure
Sii il primo ad accedere alla versione anticipata, alle notizie e alle guide dei migliori giochi e app Android.
No grazie
Iscrizione
Abbonato con successo!
Ora sei iscritto ad APKPure.
Iscriviti ad APKPure
Sii il primo ad accedere alla versione anticipata, alle notizie e alle guide dei migliori giochi e app Android.
No grazie
Iscrizione
Successo!
Ora sei iscritto alla nostra newsletter.