Icona PicosTz

1.6.0 by Africhats


Sep 25, 2018

Informazioni su PicosTz

MTANDAO UNAO UNGANISHA watu WENYE ELIMU TOFAUTI NA KUTOA UHURU WA KUCOMMENT NK.

Hellow..

PICOSTZ.COM ni mtandao wa kijamii ambao unaunganisha Watu wenye professional tofauti, Ambao watakua na uwezo wa kupost kupitia mtandao wetu. Mfano: mwanahabari atapost habari,doctor atapost nakala za afya n.k.

PICOSTZ.COM ina toa uhuru wa msomaji(mtumiaji wa App yetu) kucomment, kulike na Hata kushare

Post atayoipenda, na hiyo ni baada ya kuji register kwa kujaza Jina,e-mail,na password. Kama hautajisajili utakua unaweza kusoma habari kama kawaida ila hautaweza kuchangia mawazo yako wala kulike.

Utaweza kuangalia videos za YouTube ndani ya Application yetu.

NOTE:

HATURUHUSU

*Matusi.

*Habari zisizo na uhakika au zenye uhakika ila zinadhalilisha au zina lengo baya.

*Picha za UTUPU.

*watoto chini ya miaka 18.

KARIBU.

C.E.O::ONESMO PIUS NDENGA

Developers:develop ICT.

Novità nell'ultima versione 1.6.0

Last updated on Sep 25, 2018

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Traduzione in caricamento...

Informazioni APP aggiuntive

Ultima versione

Richiedi aggiornamento PicosTz 1.6.0

Caricata da

Hadif Rafiqi

È necessario Android

Android 4.0+

Mostra Altro

PicosTz Screenshot

Commento Loading...
Lingua
Ricerca...
Iscriviti ad APKPure
Sii il primo ad accedere alla versione anticipata, alle notizie e alle guide dei migliori giochi e app Android.
No grazie
Iscrizione
Abbonato con successo!
Ora sei iscritto ad APKPure.
Iscriviti ad APKPure
Sii il primo ad accedere alla versione anticipata, alle notizie e alle guide dei migliori giochi e app Android.
No grazie
Iscrizione
Successo!
Ora sei iscritto alla nostra newsletter.