Icona Secure SmS

1.1.6 by SwahiliTech Team


Oct 6, 2018

Informazioni su Secure SmS

Secure SmS, Whatsup No 0757918583 per usare l'app Video come fa. (#ZimaData)

Secure SmS - Faragha, ni mfumo wa simu kwajili ya kupokea na kutuma meseji bila kuwa na uhitaji wa kutumia Internet.

Hivi sasa kuna uwezekano wa meseji za wateja kusomwa katika mitandao tofauti bila ridhaa yao au bila agizo la kimamlaka, Secure SmS haita muwezesha mtu yeyote kujua nini ulicho muandikia rafiki au jamaa yako sababu kila ujumbe utalindwa kwa kuvurugwa (Encryption).

Ni haki ya Kila mteja kuwasiliana kwa kugha yeyote ile atakayo chagua Kiswahili, kisukuma nk, sasa tumia lugha hii ya kielectronikia iliyo buniwa kulinda ujumbe unaoutuma mpaka utakapo mfikia mpokeaji (End-to-End Encryption) kutumia Encryption sio kuvunja sheria.

Tofauti kubwa ya kiusalama ya app hii tofauti na nyingine ni kuwa huihitaji kuwa na Internet ili uweze kuficha siri ya unachokituma, lugha iliyotumika sio rasmi hivyo ni vigumu kwa wataalamu wengine kung’amua aina ya lugha iliyo tumika (Non standard encryption).

Secure SmS ina lugha tofauti tano, mtumiaji na mpokeaji wataamua wenyewe ni muda gani watumie lugha ipi kwaajili ya kupoteza wote wanaofatilia mawasiliano yao. Ni haki yako kutuma unachojisikia ili mradi hakimdhuru mwengine au kuvunja sheria ya nchi.

Secure SmS sasa waweza pata Los report ya simu yako iliyopotea. Tunazidi kuboresha kwagarama ya Tsh.2,000 tu mwaka mzima utapata na update zozote zitakazo toka bure kipindi chote cja matumizi.

Pia tembelea page yetu ya Instagram @securesms kwa maswali zaidi.

Novità nell'ultima versione 1.1.6

Last updated on Nov 19, 2017

Sasa mwonekano wa Kijanja zaidi, tuma sms moja kwa moja kwenda What's App.

Traduzione in caricamento...

Informazioni APP aggiuntive

Ultima versione

Richiedi aggiornamento Secure SmS 1.1.6

Caricata da

Jean Monge Pearson

È necessario Android

Android 4.0.3+

Mostra Altro

Secure SmS Screenshot

Commento Loading...
Lingua
Ricerca...
Iscriviti ad APKPure
Sii il primo ad accedere alla versione anticipata, alle notizie e alle guide dei migliori giochi e app Android.
No grazie
Iscrizione
Abbonato con successo!
Ora sei iscritto ad APKPure.
Iscriviti ad APKPure
Sii il primo ad accedere alla versione anticipata, alle notizie e alle guide dei migliori giochi e app Android.
No grazie
Iscrizione
Successo!
Ora sei iscritto alla nostra newsletter.