Icona Ufugaji wa Kuku Kitaalamu - (Kuku ni Biashara).

1.0 by Avram inc.


May 18, 2020

Informazioni su Ufugaji wa Kuku Kitaalamu - (Kuku ni Biashara).

Jifunze Ufugaji bora wa kuku wa aina zote kitaalamu Kupitia App hii kwa urahisi

Karibu katika App yetu ya ufugaji bora wa kuku jifunze ufugaji kupitia simu yako bure kabisa pakua App

Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji bora wa kuku na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu Kuku wa aina zote kutoka wataalamu waliobobea kwenye elimu na mafunzo ya ufugaji wa kuku kitaalamu zaidi.

Elimu ya ufugaji na Matibabu inatolewa bila gharama ili kuwasaidia wafugaji wote kutoka mazingira mbalimbali. Elimu hii itakusaidia zaidi namna ya kupambana na magonjwa ya kuku. Maswali yote ya mifugo na ufugaji yanayowasumbua wafugaji sehemu mbalimbali za nchi yatapatiwa majibu kupitia app hii.

Fuatilia makala zetu kila siku ili upate elimu bora ufugaji wa kuku, kwa kuzingatia kanuni na mbinu za kisasa. Hakika hapa utapata elimu ya ufugaji wa kukubure kabisa na usisite kuwashirkisha wengine nao wafaidi elimu ya bure.

Katika mafunzo yetu utapata ya kujifunza matunzo ya kuku kwa hatua zote magonjwa ya kuku na tiba zake kwa kina zaidi.

Novità nell'ultima versione 1.0

Last updated on May 18, 2020

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Traduzione in caricamento...

Informazioni APP aggiuntive

Ultima versione

Richiedi aggiornamento Ufugaji wa Kuku Kitaalamu - (Kuku ni Biashara). 1.0

È necessario Android

5.0 and up

Mostra Altro

Ufugaji wa Kuku Kitaalamu - (Kuku ni Biashara). Screenshot

Commento Loading...
Ricerca...
Iscriviti ad APKPure
Sii il primo ad accedere alla versione anticipata, alle notizie e alle guide dei migliori giochi e app Android.
No grazie
Iscrizione
Abbonato con successo!
Ora sei iscritto ad APKPure.
Iscriviti ad APKPure
Sii il primo ad accedere alla versione anticipata, alle notizie e alle guide dei migliori giochi e app Android.
No grazie
Iscrizione
Successo!
Ora sei iscritto alla nostra newsletter.